FT: Yanga 1-0 Simba| Azam Sports Federation Cup| CCM Kirumba, Mwanza

Hili lilionekana tangu vikosi vilivyotangazwa, mentality ya Pablo juu ya games mbalimbali huwa anaijua yete mwenyewe tu.

Kwa namna alivyojaza deffensive midfilders, sidhani kama atatatoka.
 
Mleeteeni kabisa Mabegi yake kocha Pablo

Anafungwaje na Mvua imeshanyesha. Kumbe ndio maana Yanga waliamua kutoa list ya kikosi kinachoanza leo saa 6
 
Kila mchezaji wa Yanga anatamani apige shuti kuelekea golini mwa Simba, washaona kichaka cha Beno
 
Kwa hiki kikosi cha Kope Mushimba Mugalu tunamuonea tuu
Mleeteeni kabisa Mabegi yake kocha Pablo

Anafungwaje na Mvua imeshanyesha. Kumbe ndio maana Yanga waliamua kutoa list ya kikosi kinachoanza leo saa 6
i
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…