Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Natamani sana mechi kama hii, Makambo acheze kama standing striker halafu Mayele acheze free roleKikosi changu cha ushindi.
Diarra,djuma,mwanyeto,bangala,shomari,aucho,sure boy,feisali,moloko,faridi,mayele.
Kikosi hiki lunyasi kila baada ya dakika 10 ataokota mpira ku nyavu.