mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Mara mia yanga ishinde lakini Mayele kutetema haitatokea!!Mi Nachojua Leo Kuna Mambo Mawili Tu Uwanjani.
1.Mayele Atatetema
2.Yanga Itashinda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara mia yanga ishinde lakini Mayele kutetema haitatokea!!Mi Nachojua Leo Kuna Mambo Mawili Tu Uwanjani.
1.Mayele Atatetema
2.Yanga Itashinda.
ChikoMna hofu sana na Mayele basi chagueni nani awafunge
Ndo Inatokea Tena LeoMara mia yanga ishinde lakini Mayele kutetema haitatokea!!
Yeah,winga moja inakufa.......haiwezi kuathiri chochote 3-5-2........Hapo lazima kiungo mmoja apungue ili wachezaji wabaki 11 uwanjani vinginevyo watakuwa 12. Sasa akishapungua kiungo ndio uzungumze kitakachotokea
Kila la Kheri Mnyama
mbona mnyama anamawazo?!
Hatufungwi na walevi sisiMi Nachojua Leo Kuna Mambo Mawili Tu Uwanjani.
1.Mayele Atatetema
2.Yanga Itashinda.
Hauta amini macho yakoHatufungwi na walevi sisi
Tunashinda goli 1 halafu linafungwa kwa mguu wa kushotoHauta amini macho yako
Umeanza lini ugangaTunashinda goli 1 halafu linafungwa kwa mguu wa kushoto
Sio uganga, hiyo ni sayansi ya time travelUmeanza lini uganga