FT: Yanga 1-0 Simba| Azam Sports Federation Cup| CCM Kirumba, Mwanza

FT: Yanga 1-0 Simba| Azam Sports Federation Cup| CCM Kirumba, Mwanza

mpaka sa hii kwa vikosi tayar kolo chali
 
Yanga starting XI
 
Attachments

  • 34B1CC51-7F6C-4EB0-959C-3C1B28F990A1.jpeg
    34B1CC51-7F6C-4EB0-959C-3C1B28F990A1.jpeg
    100.4 KB · Views: 15
Simba starting XI
 
Attachments

  • B0D6E923-F5AA-4DEC-BEB7-BDF803E468D8.jpeg
    B0D6E923-F5AA-4DEC-BEB7-BDF803E468D8.jpeg
    262.9 KB · Views: 17
Kwa kuzingatia kikosi cha Simba Sc kuelekea hii mechi, kuna haja ya kuangalia namna ya kupata kocha mpya kwaajili ya msimu ujao.

Hii mechi Simba Sc akichomoka ni kw bahati sana.
 
Kwa kuzingatia kikosi cha Simba Sc kuelekea hii mechi, kuna haja ya kuangalia namna ya kupata kocha mpya kwaajili ya msimu ujao.

Hii mechi Simba Sc akichomoka ni kw bahati sana.
Hakuna Mpira wa namna hiyo mkuu
 
Mm naona vikosi vyote vina kila sababu ya kushinda hii game ila atakayeshinda ni Bahati yake tu
 
Kiungo Eti Lwanga Mzamiru Na Kanoute Vs Aucho Bangala Sureboy Feisal Kweli Kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom