FT: Yanga 1-0 Simba| Azam Sports Federation Cup| CCM Kirumba, Mwanza

FT: Yanga 1-0 Simba| Azam Sports Federation Cup| CCM Kirumba, Mwanza

9'

Mayeleee anapiga shuti lskini beno kaokoa na kusababisha kona
 
9' Mayele anafanya jaribio la kwanza golini mwa Simba ila Kakolanya anacheza vizuri inakuwa kona
 
10'

Yanga wanapata freekick nje kidogo na 18
 
Juma shabani anapiga shuti lakini beno anaucheza na kuokoa shambulizi
 
Wakati muafaka wa kutetema umefikaView attachment 2242191
IMG-20220528-WA0393.jpg
 
Hili swala la simba kupoteza mipira sijui litaisha lini
 
Back
Top Bottom