Muwe na usiku mwema wapendwa[emoji1545]
Hivi Chama Yuko wapi?Nafikiri ni muda wa Mugalu kwenda benchi
Tumepigwa pale wananguNafikiri ni muda wa Mugalu kwenda benchi
Kagere nae anaingiaYusuf Mhilu anajiandaa kuingia
DarHivi Chama Yuko wapi?
Pole, Leo unaenda kulala mapema bila kula chakula cha usiku?Nataka nilale
sawa na MakamboMugalu n zigo la mavi
Lusaka, ZambiaHivi Chama Yuko wapi?
vipi?Ila Simba bana
Ulimuua Mwananchi sio? Pole yako1_____nimebet[emoji24]
Unajitahidi kumkingia kifua mchezaji wakoAmetoka Makambo, tumerudi kwenye Yanga ileeee!!
Ingawa alikosa magoli mawiki ya wazi, lakini alisaidia sana kwenye kuwanyima utulivu mabeki.