Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #421
Yanga 1 Simba 0Wakuu updates tafadhali. Naona matusi mengi shida nini kwani uko?
Tutawarealmadrid msipokuwa makini. Dk bado nyingiMakolo kubalini yaishe hapa hamchomoi ng'oooo!
Ili akafunge?Yu wapi Henock Inonga Backa?
Naona leo amejitahidi sana kwenye khipambania timu, hata kama mpaka sasa hajatetema.Ila mayele ni MTU haswa, anawageuza kama karanga beki wa simba
Huyu huyu?Kagere ni mpuuuuzi