Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Kunamtu alisema hapaJoash Onyango anapiga kichwa kinagonga nguzo
Nadhani atakuwa amefanya vizurii kazi yake ya kumzuia mayele asiteteme.Ili akafunge?
Kinyonge sanaFT' Yanga 1-0 Simba
Yanga wanaelekea Fainali
MmmmH, mzee hadi umekiri hilo, utakuwa umesema kweliDah! Juju Fc dakika za mwisho huwa wanakuwa moto kweli kweli!
Bahati yenu.Dah! Juju Fc dakika za mwisho huwa wanakuwa moto kweli kweli!
Tumepoteza makombe mawili tayari, ni muda wa kuangalia mbeleSimba tujadili sasa imekuaje haya mambo