FT: Yanga 1-0 Simba| Azam Sports Federation Cup| CCM Kirumba, Mwanza

FT: Yanga 1-0 Simba| Azam Sports Federation Cup| CCM Kirumba, Mwanza

Yanga wamelipa kisasi cha kufungwa na Simba kule Kigoma.
 
Tumeuona umuhimu wa MO

MO rudi tafadhari, rudi kwenye Uenyekiti wako
 
Nafikiri sasa mashabiki tudai uwajibikaji. Kuna shida Simba kuanzia management hadi technical staff. Tutaishia kupewa ahadi za kipumbavu tu. Lazima tujue nini kinaendelea kwenye timu. Matokeo mabovu kila mechi!
 
Back
Top Bottom