Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaNashukuru Mungu, Mayele hajafunga wala kutetema...tuseme Amen
Mimi hapa naona watu wanatukana tuUnaofuatilia mpira kwa masafa ya comment tujuane
Acha makombe msimu huu mutapoteza mpaka majagiiTumepoteza makombe mawili tayari, ni muda wa kuangalia mbele
Ila mna Mugwalu,Kibu na SackoSimba hatuna kocha.
Tumekuwa kama utopolo wa mwaka janaAcha makombe msimu huu mutapoteza mpaka majagii
Bila shaka wewe ndiye Inonga mwenyewe... hongeraa kwa kaz nzuriiNashukuru Mungu, Mayele hajafunga wala kutetema...tuseme Amen
Maumivu hayakwepeki,msiba ni wenu tuNashukuru Mungu, Mayele hajafunga wala kutetema...tuseme Amen
Kusema ukweli walio shiriki kutuletea taarifa zote kama zilivyo wamenibariki sanaMimi hapa naona watu wanatukana tu
AhahajajajajajajanananMakolo wajinga kweli kweli, yaani mlitegemea kabisa kibu denis na mzamiru waifunge yanga??