FT: Yanga 1-0 Simba| Azam Sports Federation Cup| CCM Kirumba, Mwanza

Natamani sana mechi kama hii, Makambo acheze kama standing striker halafu Mayele acheze free role
Uko sahihi kabisa! Makambo na Mayele wakianza pamoja kwenye hii mechi, uhakika wa ushindi ndani ya dk 90 ni 100%.

Ila kama litawaanzisha watoto wadogo kama Dennis Nkane, basi itatulazimu kwenda mpaka matuta.
 
Kila siku huwa naliona hili,mabeki wapambane na Makambo, Mayele anateleza tu
 
Bahati mbaya Makambo ni kama mtoto yatima pale Jangwani! Yaani watoto ambao bado wana muda mwingi wa kujifunza, wanapewa nafasi mara kwa mara! Yeye anatengwa.

Jambo hili halifurahishi hata kidogo. Mayele siyo mchezaji wa mikiki mikiki kama Makambo! Hivyo mafanikio yake katika mechi ngumu ikiwemo hii ya leo, yalitegemea sana uwepo wa Makambo pale mbele!
 
Halafu muanze kulia lia maisha magumu. Wenzio wanaota ndoto kama anajenga ghorofa. Nyie mnaota simba tu. Alfajiri kabisa unafungua tred,il-hali mechi ni jioni. Unawaza na kuota simba tu.
 
Alie anzisha thread ni kolo mwezanko
 
Nikweli kabisa,Kocha tangu mwanzo wa season rotation Kwa Makambo haikumuhusu kabisa,sawa Mayele ni top,ila angalau ilitakiwa apate game time hata dk 20 hivi....... binafsi naamini bado anauwezo japo saizi amepoteza konfidensi
 
asante kwa taarifa
 
Bora aanze Chico anaweza akakufuniga goli la kichwa kuliko mchezaji anaeshindwa hata kulenga gol..
 
Nikweli kabisa,Kocha tangu mwanzo wa season rotation Kwa Makambo haikumuhusu kabisa,sawa Mayele ni top,ila angalau ilitakiwa apate game time hata dk 20 hivi....... binafsi naamini bado anauwezo japo saizi amepoteza konfidensi
Haha acha kutudanganya wewe jamaa
Makambo amecheza na Rivers utd...home na away tena dk zote 90.
 
Kila siku huwa naliona hili,mabeki wapambane na Makambo, Mayele anateleza tu
Hapo lazima kiungo mmoja apungue ili wachezaji wabaki 11 uwanjani vinginevyo watakuwa 12. Sasa akishapungua kiungo ndio uzungumze kitakachotokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…