FT: Yanga 1-0 Simba| Azam Sports Federation Cup| CCM Kirumba, Mwanza

Mashabiki wa Simba, hata tusihuzunike.

Kwanza mpira ni haramu ( dhambi), waacheni hao yanga waendelee na hiyo dhambi.
 
Makolo wajinga kweli kweli, yaani mlitegemea kabisa kibu denis na mzamiru waifunge yanga?? Yaani selection mbovu ya first 11 ndiyo imewaangusha

Tatizo Simba wanaabudu wachezaji sio ubora. Na ndio kitakachofanyika wazamisha . Halafu Mimi Mo dewji na Barbara siwaamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…