Kwa taarifa ya awali ni dakika 5 kutoka sasa! Wenzako kitambo tunasubiria tu mtanange uanze.M
Mechi saa ngap mkuu
Mkuu Maombi Yako Nabi Kayasikia Makambo Ndani [emoji23]Kwa taarifa ya awali ni dakika 5 kutoka sasa! Wenzako kitambo tunasubiria tu mtanange uanze.
Timu Yenye Kiungo Punda [emoji23]Kikosi cha walevi kikiwa kimevalia yellow kinaingia hapa
Kolo usijekimbia humuutopolo waliwa kiboga huko ccm kirumba
NB
Baada ya dakika 90 utasikia kauli kama hizi kutoka kwa semaji la GSM focus yetu ni ligi kuu huku FA haikua focus yetu
Sijui ana mpambe wake humu! Kiukweli amenifurahisha sana. Amemaliza kila kitu. Hata itokee bahati mbaya, sitamlaumu Profesa kwa kweli.Mkuu Maombi Yako Nabi Kayasikia Makambo Ndani [emoji23]