FT: Yanga 1-0 Simba| Azam Sports Federation Cup| CCM Kirumba, Mwanza

9'

Mayeleee anapiga shuti lskini beno kaokoa na kusababisha kona
 
9' Mayele anafanya jaribio la kwanza golini mwa Simba ila Kakolanya anacheza vizuri inakuwa kona
 
10'

Yanga wanapata freekick nje kidogo na 18
 
Viungo wa Simba wamekuwa na tension kubwa kiasi cha kucheza faulo za kizembe sana
 
Juma shabani anapiga shuti lakini beno anaucheza na kuokoa shambulizi
 
Hili swala la simba kupoteza mipira sijui litaisha lini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…