Sijui anampendea nini?Kocha toa Boka mpaka alete maafa ya kadi nyekundu
Nlikua nakutafuta mama muhasibuπHaya haya hayaaaaa.
Labda kwake tokeo linasoma kolo 1 Yanga 0.Itakuwa anasikiliza mpira kwenye Redio huyo
Mke wetu! Kilichobaki ni kukuletea mke mwenzioHivi ni lini na sisi Simba tutashangilia kuwafunga utopolo? Kila siku sisi tu!
Ule uzi wa mhasibu ndio umekufa?Nlikua nakutafuta mama muhasibuπ
Hahahahaa. Nipo.Nlikua nakutafuta mama muhasibuπ
Weee.Mimi sio mchezaji
Tumewashindwa. Mara ya 6 mfululizo si bahati mbaya ni kwamba hatuwawezi.Hivi ni lini na sisi Simba tutashangilia kuwafunga utopolo? Kila siku sisi tu!
Kwa hiyo sisi tutakuwa ndio bimkubwa?Mke wetu! Kilichobaki ni kukuletea mke mwenzio
πππ kabisa rafiki imeshaisha habari yao. ππKwishaaaaaaa habari yao
Ndio ila nitaendelea kukupenda mke wangu.Kwa hiyo sisi tutakuwa ndio bimkubwa?
Hapa nakubaliana nawe mkuu. Kinachoniuma wakati sisi tukiwa kwenye ubora wetu hatukuwahi kushinda mechi nyingi hivi za derby. Utopolo walikuwa wanakazaTumewashindwa. Mara ya 6 mfululizo si bahati mbaya ni kwamba hatuwawezi.
Kweli, nadhani watafute mtani mwingine tu. Sisi tushawashindwa. Wawajaribu Singida au Azam.Hapa nakubaliana nawe mkuu. Kinachoniuma wakati sisi tukiwa kwenye ubora wetu hatukuwahi kushinda mechi nyingi hivi za derby. Utopolo walikuwa wanakaza