FT Yanga 1-0 Simba Ngao ya Jamii Jumanne Septemba 16,2025 | Benjamin Mkapa Stadium | Saa 11:00 Jioni

Wananchi Big Mamba, Yanga kubwa lao, Hapa sihami, Wanamsimbazi Uchwara Oyeeee!.... DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.
 
Hivi shidaaa niniiiiii??? Tunakalia mara ya sita sasa!!!! Hawa wachezaji ilifaa wachapwe kila mmoja viboko ishirini uchi labda watapata uchungu tunaoupata washangiliaji 😑🀬
 
Mashabiki wa Simba ndo tukubaliane na ukweli. Yanga wametuzidi kwenye ligi.
 
DUKE ABUYAπŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™Œ
 
Hivi shidaaa niniiiiii??? Tunakalia mara ya sita sasa!!!! Hawa wachezaji ilifaa wachapwe kila mmoja viboko ishirini uchi labda watapata uchungu tunaoupata washangiliaji 😑🀬
GSM huyu! Ananunua mechi, halafu ana timu 8 anadhamini ligi kuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…