MwananchiOG JF-Expert Member Joined Apr 4, 2023 Posts 2,507 Reaction score 4,943 Sep 18, 2025 #401 Naangalia marudio Kibu anafanya makosa yale yale anakosa tena daah
Holoholo JF-Expert Member Joined May 10, 2023 Posts 8,723 Reaction score 19,715 Sep 19, 2025 #402 FUTURE HUNTER said: Uzi uko slow nao,Poor little thimba mtapigika mpaka karia ajiuzulu. Haya mapato ya ngao karia atayala huku hana appetite. #YangaBingwa# Click to expand... uzi umepoa kwa vile wale mashabiki oya oya,makapuku, mbumbumbu hawajalipia VPN hivyo jf ndo ilitakiwa iwe hivi iwe na watuwastaalabu.
FUTURE HUNTER said: Uzi uko slow nao,Poor little thimba mtapigika mpaka karia ajiuzulu. Haya mapato ya ngao karia atayala huku hana appetite. #YangaBingwa# Click to expand... uzi umepoa kwa vile wale mashabiki oya oya,makapuku, mbumbumbu hawajalipia VPN hivyo jf ndo ilitakiwa iwe hivi iwe na watuwastaalabu.
Holoholo JF-Expert Member Joined May 10, 2023 Posts 8,723 Reaction score 19,715 Sep 19, 2025 #403 adriz The Consigliere said: Kipindi Cha kifungo nakitumia kwenye ujinga kidogo , soon narudi kwenye ID ndani yawezi ujao In Shaa Allaah. Nilitaka kutest nikibadilisha jina itaSound vipi. Click to expand... je akitokea mtu mwingine akajiita adriz kabla wewe haujalirudia jina itakuwaje si utakuwa umepoteza id yako ya muda wote?
adriz The Consigliere said: Kipindi Cha kifungo nakitumia kwenye ujinga kidogo , soon narudi kwenye ID ndani yawezi ujao In Shaa Allaah. Nilitaka kutest nikibadilisha jina itaSound vipi. Click to expand... je akitokea mtu mwingine akajiita adriz kabla wewe haujalirudia jina itakuwaje si utakuwa umepoteza id yako ya muda wote?
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 17,595 Reaction score 39,893 Sep 19, 2025 #404 King Suleiman19 said: je akitokea mtu mwingine akajiita adriz kabla wewe haujalirudia jina itakuwaje si utakuwa umepoteza id yako ya muda wote? Click to expand... Kweli kabisa nimeyumba , sitorudia tena huu ujinga . Nishafanya mpango wa kurudisha ID ya gu
King Suleiman19 said: je akitokea mtu mwingine akajiita adriz kabla wewe haujalirudia jina itakuwaje si utakuwa umepoteza id yako ya muda wote? Click to expand... Kweli kabisa nimeyumba , sitorudia tena huu ujinga . Nishafanya mpango wa kurudisha ID ya gu
vibertz JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 3,128 Reaction score 5,862 Sep 19, 2025 #405 King Suleiman19 said: uzi umepoa kwa vile wale mashabiki oya oya,makapuku, mbumbumbu hawajalipia VPN hivyo jf ndo ilitakiwa iwe hivi iwe na watuwastaalabu. Click to expand... Kumbe kuna watu wanalipia VPN
King Suleiman19 said: uzi umepoa kwa vile wale mashabiki oya oya,makapuku, mbumbumbu hawajalipia VPN hivyo jf ndo ilitakiwa iwe hivi iwe na watuwastaalabu. Click to expand... Kumbe kuna watu wanalipia VPN