FT Yanga 1-0 Simba Ngao ya Jamii Jumanne Septemba 16,2025 | Benjamin Mkapa Stadium | Saa 11:00 Jioni

I second you bro.
Kiungo ndio itaamua matokeo na kiungo ndio inaamua ubora wa idara ya ulinzi na ubora wa idara ya ushambuliaji.

Kiungo ya yanga aanze conte, abuya na doumbia.
Simba kamara, kagoma, na ahoua
Hii mechi ya leo ni ngumu sana.


Mungu ibariki yanga🙏🙏
 
Mungu ibariki Yanga, Mungu tubariki wananchi 🙏🙏🙏🙏. Leo nawategemea jamani
 
Mpira wa kisasa unachezwa kwa Mbinu nyingi, unaweza ukaachiwa utambe kwenye kiungo watu wakaweka low block ukapipigwa kwa counter kutoka pembeni ya uwanja.

Yanga tulipoteza mechi mbili muhimu na kiungo tulikishika sisi.

Tulifungwa na Al hilal ya Sudan na kutoka sare na waarabu wa Argelia pale taifa.
Wapinzani wali weka lowa block ya kushiba.
 
Utopolo wameomba kichwa leo wanapewa kichwa
 
Naitwa Elikana Muturungi Ngwabe kutoka Lake street, Ontario, USA. Naitakia ushindi Yanga
 
Nipo njiani napeleka kuku wa kafara kwa Mganga wangu, cha ajabu toka asubuhi sifiki njia haina mwisho, hapa nimepumzika chini ya mti kidogo, ninamashaka na jirani yangu mmoja niliyempita na kuku wangu sebureni alikuwa na jezi ya Simba, ndiye ananiletea hii michezo ya hovyo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…