FT Yanga 1-0 Simba Ngao ya Jamii Jumanne Septemba 16,2025 | Benjamin Mkapa Stadium | Saa 11:00 Jioni

Viongozi wa Yanga wamepuyanga sana kuachana na Khalid Aucho halafu mbadala wake kuwa Aziz Andambwile! Maana huyo Bala Conte aliyesajiliwa hata haonekani kwenye kikosi cha kwanza! Halafu kwenye hii mechi,Celestine Ecua alitakiwa kuanza.

Kiufupi leo timu haijatulia kabisa kwenye kiungo cha kati.
 
Timu Leo performance mbaya sana kiungo hakijatulia , Dube na Bokq na wao mapepe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…