Labda atabadilika siku zijazo! Ila ndani ya kipindi hiki cha dakika 45, aisee shukrani iendee kwa Djugui Diarra aliyeokoa nafasi tatu za wazi za magoli. Ya kwanza ilikuwa ni ya Hamza, Kibu Denis, na Kapombe.Hakika sidhani kama huyu atadumu
Pamoja na hayo watashinda maana Simba ni wabovu zaidi, ila kimataifa kazi ipo.Kikosi ni kibaya kwa ujumla. Dube, Boka, Mudathir, Andambwile na Nzengeli wanazingua pakubwa lakini mimi lawama zangu kwa kocha sababu hapa sijajua mbinu zake, yani ni almost wachezaji wanatumia uwezo wao wenyewe kucheza hii mechi
Tukisema baadaye mh..itatugharimu ratiba ipo tight sana...tunakwenda kwenye mechi za kimataifaLabda atabadilika siku zijazo! Ila ndani ya kipindi hiki cha dakika 45, aisee shukrani iendee kwa Djugui Diarra aliyeokoa nafasi tatu za wazi za magoli. Ya kwanza ilikuwa ni ya Hamza, Kibu Denis, na Kapombe.
Simba akishindwa kuifunga Yanga hii ya leo sidhani kama ataifunga tena.Pamoja na hayo watashinda maana Simba ni wabovu zaidi, ila kimataifa kazi ipo.
Mimi nilikuwa mshambuliaji hatari! Na pia nimekuwa kocha kwa miaka mingi sana enzi hizo nafanya kazi kiwanda cha karatasi Mgololo Mufindi huko!Tuonyeshe na cheti Cha ukocha mkuu
Mtakufa bure kisa mpiraπLeo roho mkononi yani ujasiri ushaniishia