ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Mkuu unaongea kishabiki......Azizi Ki alianza kutafuta sababu mara ajishike kichwa kama ishara ya kuumia
Hiyo yote ni mazingira ya kukwepa lawama ili baadaye tuseme alikuwa hayupo vizuri.
Max leo nimemuona kwenye lineup tu, uwanjani sijamuona.
Kuna baadhi ya wachezaji ukisema umsubirie commentator awataje majina utajikuta mpaka mpira unaisha hujamsikia.
Potelea mbali
Halafu wanajiangusha angusha kama midoli ya bear 🐻Uto wanakimbikimbia tu.
Hii mechi akijitahidi ni droo.
Cha kujifunza kinaweza kuwepo lakini sio katika maswala ya mpira.Mkuu unaongea kishabiki......
tulia uone soka Simba mna cha kujifunza kutoka Jangwani
Maiti kacheuaMlioko huko ripoti tafadhali
Makolo unawakumbusha lile tobo laoHT Yanga wamejitahidi sana, wamempiga mwarabu tobo mpigaji Aziz K.
Sijasikia bado nikupe mic?Jinga kweli ww...huoni mpira
Na lazima afunge goliKwa hiyo Musonda aliyeko benchi ndio tegemeo la kuivusha Yanga?
TutaonaNa lazima afunge goli
Hapana,ni onanaKwa hiyo Musonda aliyeko benchi ndio tegemeo la kuivusha Yanga?
Wote MnavizianaHawa wapuuzi wanatuvizia.