FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

Yanga wamekata motoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Simba sasa hawa jamaa ndio wanacheza OBJECTIVE FOOTBALL.Hawana mambo mengi.
 
Hawa wasng wana bahati sana
Naona baada ya kuvumilia kwa muda mrefu, umeamua kuhamia kwenye matusi.

Hivi hujisikii hata aibu. Uzi haukuhusu, ila muda wote unawashwa washwa tu.
 
Max anatoka anaingia Zawadi Mauya

Mzize anatoka anaingia Musonda
 
Yanga hakuna kitu leo, kupata ushindi wa pointi tatu ngumu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…