FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

Mbona dkk bado nyingi sana..kwani ni dkk ya ngapi?
 
Naona baada ya kuvumilia kwa muda mrefu, umeamua kuhamia kwenye matusi.

Hivi hujisikii hata aibu. Uzi haukuhusu, ila muda wote unawashwa washwa tu.
Lakini hiyo ni word play sio tusi

Ni sawa nisema ila we mjinga ni genius kisng.

Haitakuwa na tafsiri kama nimekutukana
 
Naanza kuelewa kwanini watani walikuwa wanafanya zile figisu vyumbani, hawa watu kucheza nao hivi hivi ni ngumu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…