Kilimbatz
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 4,331
- 5,865
Uzuri upi huo?Kwa mchezo wa leo dhidi ya yanga na al ahal, inawezekana Simba ni timu nzuri isiyozumgumzwa vizuri kwenye media.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzuri upi huo?Kwa mchezo wa leo dhidi ya yanga na al ahal, inawezekana Simba ni timu nzuri isiyozumgumzwa vizuri kwenye media.
🚮Nyuzi yoyote ikifunguliwa Katika jukwaa Lolote ndani ya JF , ni kwa wote Wenye Uwezo Wa Kuchangia...
Sasa huko Utopolo akikujibu Mzee Jakaya au Mzee Sande Manara Basi ridhika ....Mliobaki Wote huko Yanga ni Majuha na hii Sio Kauli Yangu ni Mzungu Pori.
Kwani tulipotoa sisi sare na Asec mkaanza kutuponda kuwa tumeshindwa kutumia uwanja wa nyumbani hamkujua kuwa mzunguko haujakata?Mwanangu unaongea kama vile mzunguko umekata
Ni kwanini hua hamuwezi kusubi hadi matokeo ya mwisho
Mnatupa kazi kuwaumbusha na kuwaendeshea nyuzi zenu
Tugange ya leoNyie Vyura wa Yanga mumebakiza mechi 3 tuu Ili muendelee ku survive yaani madema zote 2,na CR B Moja ila mkitoa sare au kufungwa mechi yeyote kati ya hizo mumeaga mashindano.
Hii ndio Ligi ya wakubwa Sasa.
Nyie mmebakiza ngapi yaani unajipa moyo kwa matokeo ya Yanga.Nyie Vyura wa Yanga mumebakiza mechi 3 tuu Ili muendelee ku survive yaani madema zote 2,na CR B Moja ila mkitoa sare au kufungwa mechi yeyote kati ya hizo mumeaga mashindano.
Hii ndio Ligi ya wakubwa Sasa.
SimbaKwani tulipotoa sisi sare na Asec mkaanza kutuponda kuwa tumeshindwa kutumia uwanja wa nyumbani hamkujua kuwa mzunguko haujakata?
Sasa tuwe honest katika hizi mechi ambazo wote tumesare kwa Mkapa, ni nani mwenye matumaini ya kuweza kupata pointi 3 ugenini?
Tulia mr utopwox...jioni ya leo ulikua unakenua...subiri tukicheke na sisi..tulisubiri hyo hyo drooo...Makolo sijui yapo hali gani sasa kama nayaona vile jinsi yalivyoumbuka huku timu lao halina matumaini mechi walipania Yanga ifungwe wapate kujipoza machungu🤣🤣🤣🤣🤣😂
Kwani tulipotoa sisi sare na Asec mkaanza kutuponda kuwa tumeshindwa kutumia uwanja wa nyumbani hamkujua kuwa mzunguko haujakata?
Sasa tuwe honest katika hizi mechi ambazo wote tumesare kwa Mkapa, ni nani mwenye matumaini ya kuweza kupata pointi 3 ugenini?
Malaika wa Misukosuko alitabiri kwamba Uto watashinda, namtafuta hivi sasa kazima simu kabisa 😂 😂Ngoma droo iyo
Kujua kufanyaje?
Kufundisha au namna gani?
Yanga haja ya chukulia poa ila kuna kosa moja Yanga kalifanya ni kucheza kwa tempted aliyo iset Al Ahly basi. Hapo ndipo Al Ahly walipo wapatia Yanga.Ila yanga wanapaswa kubadilika hasa kwa kuweka mikakati mizuri ya ushindi hasa mechi za nyumbani, Hii ligi ni ngumu sana. Kama tunataka kusonga mbele lazima tuache kuyachukulia poa haya mashindano tunaacha kuweka mikakati thabiti ya ushindi tunakomaa na kina tabulele.
Sasa ulinganishe Asec na Ahly.Kwani tulipotoa sisi sare na Asec mkaanza kutuponda kuwa tumeshindwa kutumia uwanja wa nyumbani hamkujua kuwa mzunguko haujakata?
Sasa tuwe honest katika hizi mechi ambazo wote tumesare kwa Mkapa, ni nani mwenye matumaini ya kuweza kupata pointi 3 ugenini?
Ni kweliIla yanga wanapaswa kubadilika hasa kwa kuweka mikakati mizuri ya ushindi hasa mechi za nyumbani, Hii ligi ni ngumu sana. Kama tunataka kusonga mbele lazima tuache kuyachukulia poa haya mashindano tunaacha kuweka mikakati thabiti ya ushindi tunakomaa na kina tabulele.