Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzuri wa Yanga sio Makolo hawana cha nyumbani wala ugenini kokote ni sawa ikitokea kafungwa ni ajali kazini.
*Medeama atapigwa kipigo kukubali nje ndani.
*Mualgeria atapigwa kwa Mkapa.
*Al Ahly kidogo anaweza kubahatisha kutoa sare Cairo .
Tu assume wote ni men of the match, Masta Gamondi.Man of the Match Diara......
Yanga ni washamba wa mashindano bado sana.
Utani wa jadi kwasababu umeona ni matokeo ambayo yapo hadi upande wako?Anha hapo nmekuelewa
Kumbe huongei football unaongea utani wa jadi?
Kama ni hivyo twende kwenye utani wa jadi
Ni kweli kutoa sare uwanja wa nyumbani sio swala zuli
Uwanja wa nyumbani ni LAZIMA ushinde
Yaani LAZIMA[emoji3][emoji3]
Naamini unajua hizi timu kubwa kinachopaswa kukubeba ni mbinu za bench la ufundi, ukizingatia upo home, angalia TP Mazembe leoUnamuonea Gamondi bure tu, hao Ahly sio timu ndogo pia.
Mulizani ligi ya vipielo utopwinyo wavaa musul chukuchuku
Hahahaha unazidi kuonyesha akili umezisahau ndani...yani apige wote wakati kashapigwa 3 kwa 0..au unamaanisha nini...kumbe saaa akili zimewakaa sawa kuwa mnacheza na giant team ya Africa mpk mnaombea sare..waulizeni Simba huwa wanawafungaje...Uzuri kwamba hakuna kolo hata mmoja kiwango cha Makande anayeiamini timu yake ,yaani litimu liko papatupapatu halina matumaini ila Yanga atapigwa wote labda Al Ahly atabahatisha sare Cairo.
Kwa hiyo hii timu yako ambayo mpaka sasa hata mentality yao haiko sawa.Simba Bado Wana mechi zote 4 Wana uwezo wa kushinda
Hili group bado nafasi ipo kwa Yanga,na medeama Yanga anashinda anaenda nafasi ya pili belouzeid ana ubavu wa kumfunga al ahly kokote kule
Utani wa jadi kwasababu umeona ni matokeo ambayo yapo hadi upande wako?
Na sio tu kiutani bali hata kwa statistics tu.
Hata hao wanaopanga odds kwenye kampuni za kubeti hawapangi kwa kuangalia eti mpira una maajabu yake.
Wanapanga kwa kuangalia takwimu, na takwimu zinaanzia kwenye ubora wa kikosi, ubora wa kikosi unaamuliwa kwa Quality ya wachezaji.
Kupata Quality kubwa ya wachezaji ni lazima ufanye investment ya maana.
Sasa ukiangalia tu katika hilo utaona advantage inaenda kwa nani.
Njoo kwenye uzoefu wa mashindano.
Kikosi chenu chote hakina mchezaji ambaye amecheza Club bingwa na kufika walau hata robo fainali. Kama yupo nikumbushe.
Simba anaweza akawa na matumaini ya kushinda ugenini kuliko Yanga kushinda Cairo mbele ya Al Ahly.
Namaanisha wote kwa mechi zilizobaki.Hahahaha unazidi kuonyesha akili umezisahau ndani...yani apige wote wakati kashapigwa 3 kwa 0..au unamaanisha nini...kumbe saaa akili zimewakaa sawa kuwa mnacheza na giant team ya Africa mpk mnaombea sare..waulizeni Simba huwa wanawafungaje...
Makolo kuanzia mtoano hadi hapa mlipofikia mlishinda match ipi?Simba Bado Wana mechi zote 4 Wana uwezo wa kushinda
Hauwezi ukalinganisha wala hilo halina mjadala.Sasa ulinganishe Asec na Ahly.
Wakati mwingine jitahidi kuwa na akili timamu
Hilo Mwamnyeto limetokana na kukubali kucheza kwa tempa waliyo iset Al Ahly,ila kama tungeendelea kucheza kwa style yetu ya dk 30 za mwanzo hawa warabu walikuwa hawatoki.Mwamnyeto alitaka kuigharimu timu
Ukiacha kosa hilo nitajie kosa lingine uliloliona