FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

Kinachowagharimu yanga ni kuingia kwenye ligi ya mabingwa wakiwa na visheni ya kuishiq makundi.

Yani bingwa unaingia katika mashindano na mabingwa wanzako unavision za kufeli. Lengo kuu linatakiwe liwe kuchukua kombe. Hayo mengine yabaki matokeo.

Kwa kikosi hikihiki kikibadilishiwa visheni kinauwezo wa kufunga timu zote za haya mashindano.
 
Kwa hiyo hii timu yako ambayo mpaka sasa hata mentality yao haiko sawa.

Yaani unavyo zitia ugumu mechi za wenzako kwa hiyo Yanga hizo mechi nne hawezi shinda.

We timu imechoka physically na mentally, mechi ya leo kipindi cha kwanza kilikuwa chenu, sasa mnacheza na Wydad mechi mbili mfululizo.

Nawashauri baada ya kumleta kocha, mleteni mwanasaikolojia atakeye ongea na mchezaji mmoja mmoja kurudisha confidence uwanjani. Timu haijiamini unaipigia hesabu ya kushinda mechi nne......... tupo hapa na tutakumbushana.
Hawezi mfunga Al Ahly kwake,na anatikwa Ashinde hizo 3 sio kutoa sare yeyote au kufungwa yeyote hapo itakuwa Kwa heri.

Wiki ijayo ni Kwa Madeama
 
Kinachowagharimu yanga ni kuingia kwenye ligi ya mabingwa wakiwa na visheni ya kuishiq makundi.

Yani bingwa unaingia katika mashindano na mabingwa wanzako unavision za kufeli. Lengo kuu linatakiwe liwe kuchukua kombe. Hayo mengine yabaki matokeo.

Kwa kikosi hikihiki kikibadilishiwa visheni kinauwezo wa kufunga timu zote za haya mashindano.

Umeangalia mpira?
Umeangalia game ya kwanza na hi vizuri?
Kwa uchezaji wa yanga unapata vip ujasili wa kusema hawana vision ?

Kua na version ni kufungwa pekee?
 
Utani wa jadi kwasababu umeona ni matokeo ambayo yapo hadi upande wako?

Na sio tu kiutani bali hata kwa statistics tu.

Hata hao wanaopanga odds kwenye kampuni za kubeti hawapangi kwa kuangalia eti mpira una maajabu yake.

Wanapanga kwa kuangalia takwimu, na takwimu zinaanzia kwenye ubora wa kikosi, ubora wa kikosi unaamuliwa kwa Quality ya wachezaji.

Kupata Quality kubwa ya wachezaji ni lazima ufanye investment ya maana.

Sasa ukiangalia tu katika hilo utaona advantage inaenda kwa nani.

Njoo kwenye uzoefu wa mashindano.

Kikosi chenu chote hakina mchezaji ambaye amecheza Club bingwa na kufika walau hata robo fainali. Kama yupo nikumbushe.

Simba anaweza akawa na matumaini ya kushinda ugenini kuliko Yanga kushinda Cairo mbele ya Al Ahly.
Simba ugenini ni kibonde wa hatari, alikuwa anapigwa hamsa ugenini anakuja kuchomoa mechi za kwa Mkapa. Simba ya kuchomoa kwa Mkapa ilishaisha sasa imebakia historia. Tofauti ya Yanga na Simba kwenye haya mashindano ni kuwa, wakati Yanga amrshacheza na wababe wote wa group, Simba Simba bado hajakutana nao.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Hawezi mfunga Al Ahly kwake,na anatikwa Ashinde hizo 3 sio kutoa sare yeyote au kufungwa yeyote hapo itakuwa Kwa heri.

Wiki ijayo ni Kwa Madeama
So ww ndio kwa hii timu yako iliyo choka mwili na akili unaweza kupata matokeo kwa Asec na Wydad...... yaani mnavyo zitiia ugumu mechi za wenzenu ,mtazani nyinyi mna timu ya maana.Kumbe mnajitafuta sasa hivi hata hamjielewi.
 
Utani wa jadi kwasababu umeona ni matokeo ambayo yapo hadi upande wako?

Na sio tu kiutani bali hata kwa statistics tu.

Hata hao wanaopanga odds kwenye kampuni za kubeti hawapangi kwa kuangalia eti mpira una maajabu yake.

Wanapanga kwa kuangalia takwimu, na takwimu zinaanzia kwenye ubora wa kikosi, ubora wa kikosi unaamuliwa kwa Quality ya wachezaji.

Kupata Quality kubwa ya wachezaji ni lazima ufanye investment ya maana.

Sasa ukiangalia tu katika hilo utaona advantage inaenda kwa nani.

Njoo kwenye uzoefu wa mashindano.

Kikosi chenu chote hakina mchezaji ambaye amecheza Club bingwa na kufika walau hata robo fainali. Kama yupo nikumbushe.

Simba anaweza akawa na matumaini ya kushinda ugenini kuliko Yanga kushinda Cairo mbele ya Al Ahly.
We jamaa una akili timamu?
 
Umeangalia mpira?
Umeangalia game ya kwanza na hi vizuri?
Kwa uchezaji wa yanga unapata vip ujasili wa kusema hawana version?

Kua na version ni kufungwa pekee?
version? au umemaanisha vision?
 
Back
Top Bottom