FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

Nimeona marudio ya goli sasa rasmi nasapoti kwamba Mwamnyeto ni Maguire wa Tz.

Football ni makosa bob
Ukizingua tu kidogo unapigwa kamba!

Hebu rudia goli tulowafunga pia

Its all about FOOTBALL
 
Yanga haja ya chukulia poa ila kuna kosa moja Yanga kalifanya ni kucheza kwa tempted aliyo iset Al Ahly basi. Hapo ndipo Al Ahly walipo wapatia Yanga.

Wenzetu ukiwaona ni watu ambao mipango yao ya mazoezini wanajua kuimplement kwenye mechi.
Mwamnyeto alitaka kuigharimu timu

Ukiacha kosa hilo nitajie kosa lingine uliloliona
 
Kwenye hili kundi la yanga kila mmoja ametumia vyema uwanja wake wa nyumbani isipokuwa yanga
 
Tulia mr utopwox...jioni ya leo ulikua unakenua...subiri tukicheke na sisi..tulisubiri hyo hyo drooo...
Kiko wapiii...kiko wapi?
Uzuri kwamba hakuna kolo hata mmoja kiwango cha Makande anayeiamini timu yake ,yaani litimu liko papatupapatu halina matumaini ila Yanga atapigwa wote labda Al Ahly atabahatisha sare Cairo.
 
Ila yanga wanapaswa kubadilika hasa kwa kuweka mikakati mizuri ya ushindi hasa mechi za nyumbani, Hii ligi ni ngumu sana. Kama tunataka kusonga mbele lazima tuache kuyachukulia poa haya mashindano tunaacha kuweka mikakati thabiti ya ushindi tunakomaa na kina tabulele.
Tuache sisi tuna kikosi kipana na hili kombe ni letu msimu huu.
 
Kuna tofauti kubwa kati ya Kombe la Shirikisho na CAF Champions League, ni vizuri kila mtu akaelewa.

Mengine nitasema baadaye.

Ova
 

Attachments

  • statics.png
    statics.png
    11.2 KB · Views: 2
Back
Top Bottom