FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

Utani wa jadi kwasababu umeona ni matokeo ambayo yapo hadi upande wako?

Na sio tu kiutani bali hata kwa statistics tu.

Hata hao wanaopanga odds kwenye kampuni za kubeti hawapangi kwa kuangalia eti mpira una maajabu yake.

Wanapanga kwa kuangalia takwimu, na takwimu zinaanzia kwenye ubora wa kikosi, ubora wa kikosi unaamuliwa kwa Quality ya wachezaji.

Kupata Quality kubwa ya wachezaji ni lazima ufanye investment ya maana.

Sasa ukiangalia tu katika hilo utaona advantage inaenda kwa nani.

Njoo kwenye uzoefu wa mashindano.

Kikosi chenu chote hakina mchezaji ambaye amecheza Club bingwa na kufika walau hata robo fainali. Kama yupo nikumbushe.

Simba anaweza akawa na matumaini ya kushinda ugenini kuliko Yanga kushinda Cairo mbele ya Al Ahly.
Kwa mahesabu ya haraka yanga amecheza mechi mbili za fainali ya Caf confederations na Bingwa wa caf confederations cup na caf super cup na kuwa droo na simba amecheza robo ya caf champions league yupi amezidi kimafanikio ??
Na Takwimu za caf 2022-2023 yanga yupo Kwenye top 5 simba hayupo .
Wewe na caf Nani yupo sahihi ??
 
Diarra amepambana Leo Hata goli amefungwa kwa kosa la mwamnyeto .
Gamondi alipaswa kumtoa aziz ki , nzengeli abaki uwanjani .
Nzengeli alivyotoka kasi ilipungua
Goli la Pacome ni Kama World Cup bonge la bao .
Waarabu weusi walianza kushangilia jukwaani .
Goli la Pacome ni la dunia. Ni la kipekee sana Hadi CAF wameamua kuwapa pointi 3
 
Back
Top Bottom