FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

🚮
 
Mwanangu unaongea kama vile mzunguko umekata

Ni kwanini hua hamuwezi kusubi hadi matokeo ya mwisho

Mnatupa kazi kuwaumbusha na kuwaendeshea nyuzi zenu
Kwani tulipotoa sisi sare na Asec mkaanza kutuponda kuwa tumeshindwa kutumia uwanja wa nyumbani hamkujua kuwa mzunguko haujakata?

Sasa tuwe honest katika hizi mechi ambazo wote tumesare kwa Mkapa, ni nani mwenye matumaini ya kuweza kupata pointi 3 ugenini?
 
Ila yanga wanapaswa kubadilika hasa kwa kuweka mikakati mizuri ya ushindi hasa mechi za nyumbani, Hii ligi ni ngumu sana. Kama tunataka kusonga mbele lazima tuache kuyachukulia poa haya mashindano tunaacha kuweka mikakati thabiti ya ushindi tunakomaa na kina tabulele.
 
Nyie Vyura wa Yanga mumebakiza mechi 3 tuu Ili muendelee ku survive yaani madema zote 2,na CR B Moja ila mkitoa sare au kufungwa mechi yeyote kati ya hizo mumeaga mashindano.

Hii ndio Ligi ya wakubwa Sasa.
Tugange ya leo

Aahaaaa

Mlishaandaa na vibonzo
 
Simba

Umeridhika?
 
Makolo sijui yapo hali gani sasa kama nayaona vile jinsi yalivyoumbuka huku timu lao halina matumaini mechi walipania Yanga ifungwe wapate kujipoza machungu🤣🤣🤣🤣🤣😂
Tulia mr utopwox...jioni ya leo ulikua unakenua...subiri tukicheke na sisi..tulisubiri hyo hyo drooo...
Kiko wapiii...kiko wapi?
 

Anha hapo nmekuelewa

Kumbe huongei football unaongea utani wa jadi?
Kama ni hivyo twende kwenye utani wa jadi

Ni kweli kutoa sare uwanja wa nyumbani sio swala zuli
Uwanja wa nyumbani ni LAZIMA ushinde
Yaani LAZIMA[emoji3][emoji3]
 
Yanga haja ya chukulia poa ila kuna kosa moja Yanga kalifanya ni kucheza kwa tempted aliyo iset Al Ahly basi. Hapo ndipo Al Ahly walipo wapatia Yanga.

Wenzetu ukiwaona ni watu ambao mipango yao ya mazoezini wanajua kuimplement kwenye mechi.
 
Sasa ulinganishe Asec na Ahly.
Wakati mwingine jitahidi kuwa na akili timamu
 
Ni kweli

Ila tumetoka kufungwa then tumedroo

Acha tuone mechi inayofuata

Nimeifurahia hii point moja

At least kuna matumaini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…