FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

Anajitoa ufahamu Yanga mechi zilizobaki mnashinda si chini ya goli 5 Kila mechi na kombe mnabeba.
 
Tp Mazembe ni giant wa afrika , Hata usm algers umeona alichofanya , club Africain ni Bingwa wa zamani wa caf cl

Marumo alishuka daraja lakini league ya afrika kusini ni ngumu sana sababu ya uwekezaji kwahiyo kila timu sio kibonde kama nchi nyingine na gap ya point Kati ya timu na timu wakati mungine ni ndogo na msimu uliopita aliwazidi kaizer na Orlando .

Kwanini caf waiweke yanga top 5 wasiweke raja .
Rank hawaangalii majina makubwa au historia wanaangalia current performance .
 
Maana yake unakubali kuwa ligi ya Afrika kusini ni ngumu kuliko shirikisho na ndio maana waliweza kufika nusu fainali?
 
Mlimsaji wewe nanani,? Huna hizo pesa za kumsajili hata nyau wa kwenu
 
Maana yake unakubali kuwa ligi ya Afrika kusini ni ngumu kuliko shirikisho na ndio maana waliweza kufika nusu fainali?
Kila mashindano kocha anakuwa na malengo yake , hatukujua kocha wa Marumo alikuwa na malengo yapi Kama kipaumbele chake .
Vilevile hatujui wakicheza michezo ya league walikuwa na fitness ya Kiwango gani ikiwemo majeruhi , kumbuka walipitia Misukosiku kadhaa ya kubadilisha makocha.

Marumo walimtoa pyramid na pyramid alikuwa mshindi wa pili kombe la fa la misri kwa kufungwa 1-2 na Al ahly !
 
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
 
Unajenga hoja kumaanisha sababu ya Marumo kushuka daraja ni kutokana na malengo ya Club yalikuwa kwenye shirikisho na sio ligi kuu?

Kwamba ikifika mechi za ligi kuu kocha anachezesha kikosi B ili kuifadhi wachezaji wake tegemeo kwa ajili ya shirikisho ambalo ndio malengo yao?

Well Marumo alimfunga Pyramid na hiyo ndio tunaita maajabu ya mpira.

Ni kama Jwaneng Galaxy alivyomfunga Wydad kwao Morroco.

Ni matokeo ambayo yakipatikana kila upande hauamini.

Yani Marumo kumfunga Pyramids katika ardhi ya nyumbani Cairo ni jambo la kushangaza.

Na sometimes hata malengo yao unakuta yalikuwa ni kutafuta sare lakini ikatokea tu makosa yamefanyika na Marumo wakaitumia nafasi.

Maajabu kwenye mpira yapo ila hatuwezi kuyategemea kwasababu possibility yake ya kuweza kutokea ni finyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…