Nakubaliana na wewe kuwa malengo ya Yanga shirikisho yalikuwa ni kufika makundi.
Lakini tukubali kuwa sababu ya wao kupitiliza hiyo hatua ilitokana na wepesi wa wapinzani.
Timu zote mlizocheza nazo zingine ndio kwanza zilikuwa zinatafuta makundi kwa mara ya kwanza.
Na nyingi zilikuwa mwishoni mwa msimamo mwa ligi zao za ndani, Marumo ikashuka na daraja kabisa.
Hilo liliwapa advantage ya kuweza kufika mbali.
Lakini huku kwa wakubwa ni ngumu sana kukutana na opportunity hiyo, nyie hamkuwa wakushangilia sare tena mkiwa nyumbani.