FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

Yanga kipindi Cha pili wamepoteana
Aziz ki alikuwa mzigo hakimbii , hakabi , hapigi mashuti alikuwa yupo yupo tu gamondi alichemka kumwacha na kumtoa nzengeli .
Yanga inahitaji striker Wawili wa nguvu dirisha dogo Kama inataka kushinda mechi ya belouzid na Al ahly
Ila Kwa Kiwango cha Leo madeama anafungwa na yanga mechi inayofuata .
 
Hata caf confederations yanga alivyoshiriki hakuweka malengo ya juu alitaka makundi .

Timu inapoweka malengo ya juu inawapa msukumo mkubwa zaidi wachezaji pasipo na ulazima , ili timu ifanikiwe inatakiwa iwe malengo ya kushinda kila mchezo unaokuja mbeleni .
Nakubaliana na wewe kuwa malengo ya Yanga shirikisho yalikuwa ni kufika makundi.

Lakini tukubali kuwa sababu ya wao kupitiliza hiyo hatua ilitokana na wepesi wa wapinzani.

Timu zote mlizocheza nazo zingine ndio kwanza zilikuwa zinatafuta makundi kwa mara ya kwanza.

Na nyingi zilikuwa mwishoni mwa msimamo mwa ligi zao za ndani, Marumo ikashuka na daraja kabisa.

Hilo liliwapa advantage ya kuweza kufika mbali.

Lakini huku kwa wakubwa ni ngumu sana kukutana na opportunity hiyo, nyie hamkuwa wakushangilia sare tena mkiwa nyumbani.
 
Aziz ki alikuwa mzigo hakimbii , hakabi , hapigi mashuti alikuwa yupo yupo tu gamondi alichemka kumwacha na kumtoa nzengeli .
Yanga inahitaji striker Wawili wa nguvu dirisha dogo Kama inataka kushinda mechi ya belouzid na Al ahly
Ila Kwa Kiwango cha Leo madeama anafungwa na yanga mechi inayofuata .
To be honest I'm really excited when I see comments like this

ukikaidi utapigwa2
 
Unazijua hesabu za yanga
wacha nikusaidie Madeama tunampiga nje ndani point 6 hizo
Wale waarabu wa mchongo tunawakanda hapa nyumbani
Ahly tutaamua kumpiga au tutoke nae draw kwao

Yanga yuleeee.....

Watu weweee....
Mkuu, amka kwanza ndiyo uandike humu. Ukiwa unaandika huku ukiwa umelala unakosa sana uhalisia. Amka kwanza.

Ova
 
Nakubaliana na wewe kuwa malengo ya Yanga shirikisho yalikuwa ni kufika makundi.

Lakini tukubali kuwa sababu ya wao kupitiliza hiyo hatua ilitokana na wepesi wa wapinzani.

Timu zote mlizocheza nazo zingine ndio kwanza zilikuwa zinatafuta makundi kwa mara ya kwanza.

Na nyingi zilikuwa mwishoni mwa msimamo mwa ligi zao za ndani, Marumo ikashuka na daraja kabisa.

Hilo liliwapa advantage ya kuweza kufika mbali.

Lakini huku kwa wakubwa ni ngumu sana kukutana na opportunity hiyo, nyie hamkuwa wakushangilia sare tena mkiwa nyumbani.
Kama sio wao waliotucheka tulivyodroo na Asec Mimosa
 
YANGA kwa mjibu wa takwimu za CAF tayari imecheza na timu 2 bora zaidi kuliko yenyewe na MAKOLO lakini tumekusanya point 1.
SIMBA imecheza na timu 2 dhaifu kuliko yenyewe na imekusanya point 2 tu.

ASEC na JWANENG ni underdog kwa SIMBA lakini SIMBA imeshindwa kuonyesha ubora wake.

YANGA ni underdog kwa CRB na AHLY lakini tumeonyesha ushindani mkali kuliko SIMBA

Kwa YANGA yangu tunamfunga H&A Mediama na pia CRB tunamfunga hapa home na tuta atleast draw na AHLY kwa hiyo tuna uwezekano mkubwa wa kutinga robo final.

YANGA tupewe heshima yetu
Malengo yenu ya kutinga hatua ya makundi yameshatimia , huko kwingine jipangeni siku nyingine
 
Safu ya ushambuliaji itaigharimu sana Yanga kwenye mashindano haya.
Tulijua hili baada ya King Mayele kusepa, ndiyomaana tulimsajili Konkoni chaguo la pili baada ya kukosa striker chaguo la awali tokana na bei ghali,

Tujikongoje hivyo hivyo tutapofikia ndipo hapo hapo tutapoanza settings za misimu mingine.

Mzize na Musonda ni akina Bahanuzi wachangamfu tu...[emoji2]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hivi yanga mnawezaje kuwa comfortable huku mnaburuza mkia.... Nawaona mko sawa tu
Msimu uliopita Manyaunyau SC hamkuchapwa mechi 2 mfululizo kwa Mkapa mechi za awali baadaye mkashinda na kutinga robo fainali za CAFCL?

Kama hujitoi ufahamu kuwa Yanga SC bado ana nafasi ya kufanya vizuri na kutinga robo fainali basi kweli umbumbumbu ni kipaji......[emoji847]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom