FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023


View: https://twitter.com/CloudsMediaLive/status/1731032813850280177?t=XafT8K_6XoKImuIEXx-ejQ&s=19
 
Sasa yeye alitakaje? Kwani diara sio Mchezaji wa Yanga? Sioni sababu yoyote ya kuwa tunazipa Pressure timu zetu.

Jana Yanga amecheza vizuri sana tena kwa kuwaheshimu Al Ahly. Nafikiri Gamondi alijifunza mistake alizozifanya kule Algeria kwa kufunguka. Timu imecheza vizuri kwa kujilinda na kwa heshima kwani ni kweli Al Ahly ni Timu nzuri na kubwa kuliko timu zetu za Tanzania.
 
Yanga aendelee hivi hivi

Ametoka kufungwa na mwarabu na jana kadroo na mwarabu

Amejifunza kutokana na makosa ya kwanza na ameyarekebisha

Twende kwa Medeama tuone

Je graph itazidi kupanda?
 
Yanga aendelee hivi hivi

Ametoka kufungwa na mwarabu na jana kadroo na mwarabu

Amejifunza kutokana na makosa ya kwanza na ameyarekebisha

Twende kwa Medeama tuone

Je graph itazidi kupanda?
Madeana kampiga 2-1, Belozidadi , aliyemfunga yanga, 3-0.
Tarehe 8/12, yanga, kwa Madeana, atakaa. Nasema hivi utooo, vikao vya usiku haviepukikiiiii
 
Kuna tofauti kubwa kati ya Kombe la Shirikisho na CAF Champions League, ni vizuri kila mtu akaelewa.

Mengine nitasema baadaye.

Ova
B... Kumbe haya ndio mambo yako eeeh? Sawa
Ngoja, nitakufurahisha.
Lawama hazitopokelewa wala kusikilizwa, umeyaanza mwenyewe.
 
Mkuu, amka kwanza ndiyo uandike humu. Ukiwa unaandika huku ukiwa umelala unakosa sana uhalisia. Amka kwanza.

Ova
Hizo hesabu zikitimia utakoma, nitakukumbusha kila mahali...
 
Wananchi wakifuzu robo fainali safari ni fainali ya Caf Cl ila makolo akifuzu ni Kama kawaida
 
Waliokuwa uwanjani dakika za mwisho 90+ tujulisheni ni mchezaji gani wa yanga alikuwa anaenda kufunga goli la ushindi beki wa Al ahly akatoa karibu na kipa wakagongana ikawa kona Azam tv walikatiza matangazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…