ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Leo mida ya saa 1:00 jioni inatarajiwa kuchezwa mechi ya pili ya kundi D ikiwakutanisha mabingwa wa kihistoria wa Tanzania (Yanga) dhidi ya Mabingwa wa Kihistoria wa Afrika kutokea Misri (Al Ahly). Mechi inachezwa katika Uwanja wa Mkapa uliopo Dar es Salaam Tanzania.
Unafikiri nani ataibuka mshindi katika mechi hii?
Kaa nami katika uzi huu, nitakuletea matukio na matokeo yatakayokuwa yakijiri katika mchezo huu.
View attachment 2831569Goooal Yanga 0 - 1 Al Ahly (Percy Tau 87')
Kikisi cha Yanga kinachoanza
View attachment 2831570
Kikosi cha Al Ahly kilichoanza
View: https://twitter.com/CloudsMediaLive/status/1731032813850280177?t=XafT8K_6XoKImuIEXx-ejQ&s=19