FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

Mechi mbili point 1. Away kichapo nyumbani sare

Mechi mbili pointi 2. Away sare nyumbani sare.

Mwenye point mbili analazimisha furaha na kujiona ana matumaini kuliko mwenye point 2

Mwanangu unaongea kama vile mzunguko umekata

Ni kwanini hua hamuwezi kusubi hadi matokeo ya mwisho

Mnatupa kazi kuwaumbusha na kuwaendeshea nyuzi zenu
 
Walishaandaa vibonzo vya kutucheka tumefungwa, haya vicheni vibonzo vyenu sasa hii ndiyo YANGA .
Makolo sijui yapo hali gani sasa kama nayaona vile jinsi yalivyoumbuka huku timu lao halina matumaini mechi walipania Yanga ifungwe wapate kujipoza machungu🤣🤣🤣🤣🤣😂
 
Mi sija reply post yenye swali

Kwa Mkapa unetoa sare, mechi mbili una pointi moja.

Unaona fresh kupata pointi moja kwenye uwanja wa nyumbani?
Uzuri wa Yanga sio Makolo hawana cha nyumbani wala ugenini kokote ni sawa ikitokea kafungwa ni ajali kazini.

*Medeama atapigwa kipigo kukubali nje ndani.
*Mualgeria atapigwa kwa Mkapa.
*Al Ahly kidogo anaweza kubahatisha kutoa sare Cairo .
 
Makolo sijui yapo hali gani sasa kama nayaona vile jinsi yalivyoumbuka huku timu lao halina matumaini mechi walipania Yanga ifungwe wapate kujipoza machungu🤣🤣🤣🤣🤣😂
Walitaka tufungwe ili wajifariji kuwa wao walicheza na giant mwenzao wakadroo


Aahaaaa

Kiko wapi


Ahaaaaaa
 
Nyie Vyura wa Yanga mumebakiza mechi 3 tuu Ili muendelee ku survive yaani madema zote 2,na CR B Moja ila mkitoa sare au kufungwa mechi yeyote kati ya hizo mumeaga mashindano.

Hii ndio Ligi ya wakubwa Sasa.
 
Back
Top Bottom