FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

Mkuu mbona bado hujasema! Unataka Aziz akimbie,akabe,apige mashuti yote haya afanye yeye,muonee huruma ni binadamu pia.
Yanga bora imeshangilia draw ya nyumbani.
Sikumaanisha afanye vyote , angalau ashambulie kwa kujaribu mashuti baada ya plan A ya kupiga chenga Msitu wa backline ya Al ahly kushindikana
 
Angalia na aina ya timu. Mbona wewe ulishangilia droo na ASEC ambao kwa mjibu wa CAF unawazidi ubora mbali sana.
Kwanza Ahly ya CL ni bora kuliko ile ya AFL
Eti Ahly ya CL ni bora kuliko ya AFL,Bado hujasema. Hiyo ndo CL na bado utaenda kuona ubora wake pale Cairo
 
Back
Top Bottom