FT: Yanga 1-1 Al Hilal Club (CAF Champion League) | Mkapa Stadium | 8-10-2022

Kama kuna ndugu yako ni mshabiki wa Yanga msimuache peke yake kwa muda huu mpaka asubuhi......nasisitiza tena asiachwe peke yake.......muwekeni mbali na vitu vyenye ncha Kali na kamba kamba......


nawasilisha......
 
Simba ya ngao ya jamii ni tofauti na ya CAF. Umewahi kutana na Simba ya CAF?
Mechi nane zilizopita nne mnyama kakalia chuma,zote ni ngao!?..Simba ikicheza ngao na ikicheza caf mzamiru anakua tofauti!?
 
Makolo nyuso zao zimewashuka kama Mbuzi wa hitma walijua tungefungwa waanze kuchongoa midomo yao kama chuchunge
 
Tarehe 23 siyo mbali
 
Makolo nyuso zao zimewashuka kama Mbuzi wa hitma walijua tungefungwa waanze kuchongoa midomo yao kama chuchunge
Sasa hapo Kuna tofauti gani na kufungwa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Sio Ifefu mbona hadi mechi za kimataifa tena za CAF wameifunga timu tishio goli 9-0?
Timu inatoka Sudan kwa basi za kuunga alafu yanga wanajiona binge la timu...

CAF njooni muwa-post yanga...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…