FT: Yanga 1-1 Al Hilal Club (CAF Champion League) | Mkapa Stadium | 8-10-2022

FT: Yanga 1-1 Al Hilal Club (CAF Champion League) | Mkapa Stadium | 8-10-2022

Kama kuna ndugu yako ni mshabiki wa Yanga msimuache peke yake kwa muda huu mpaka asubuhi......nasisitiza tena asiachwe peke yake.......muwekeni mbali na vitu vyenye ncha Kali na kamba kamba......


nawasilisha......
FB_IMG_1664511043112.jpg
 
Simba ya ngao ya jamii ni tofauti na ya CAF. Umewahi kutana na Simba ya CAF?
Mechi nane zilizopita nne mnyama kakalia chuma,zote ni ngao!?..Simba ikicheza ngao na ikicheza caf mzamiru anakua tofauti!?
 
Makolo nyuso zao zimewashuka kama Mbuzi wa hitma walijua tungefungwa waanze kuchongoa midomo yao kama chuchunge
 
Kama Yanga walikuwa wanafikiria kuwachangisha mashabiki kufidia ile penati waliyopigwa na CAS basi nawapa ushauri huu

Watafute mechi na Ihefu pale kwa mkapa, waingize kikosi hiki hiki kilicho cheza leo tena wachezaji wawe kwenye position hizi hizi walizocheza leo

Natabiri hattrick, mwamba lazima ateteme

Hiyo itakuwa ni mechi ya 45 bila kupoteza

Haraka haraka anzisheni kampeni ya kuchangia hiyo penati mliyopigwa

Ikifika siku ya marudiano na Al Hilal sitisheni hilo zoezi kwani walau mtakuwa mmepata hata milion 5 ambayo mtakuwa mmepunguza kiasi fulani kwenye ile milion 340+

Matanikumbuka kauli yangu
Tarehe 23 siyo mbali
 
Makolo nyuso zao zimewashuka kama Mbuzi wa hitma walijua tungefungwa waanze kuchongoa midomo yao kama chuchunge
Sasa hapo Kuna tofauti gani na kufungwa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Sio Ifefu mbona hadi mechi za kimataifa tena za CAF wameifunga timu tishio goli 9-0?
Timu inatoka Sudan kwa basi za kuunga alafu yanga wanajiona binge la timu...

CAF njooni muwa-post yanga...
 
Back
Top Bottom