Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
IWE JUA IWE MVUA[emoji23]Wewe si uliuliwa na Jwaneng hapo hapo, au unajisahaulisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
IWE JUA IWE MVUA[emoji23]Wewe si uliuliwa na Jwaneng hapo hapo, au unajisahaulisha
Uliona mbali sanaaKazeni misuli hyo watawafunga mtatoka 1-1
Dhidi ya mwarabu kutoka misri aaaaahTayari washaangukia CAF Confederation league 😂😂
Acha kunikasirikia Mimi we pambana na Hilal hao😂Wewe si uliuliwa na Jwaneng hapo hapo, au unajisahaulisha
🤣🤣🤣🤣, tulia, ujue Kuna keshoAcha kunikasirikia Mimi we pambana na Hilal hao😂
Mkuu, Una DE agosto keshoIWE JUA IWE MVUA[emoji23]
It's sportsYap leo nimekuwa mzalendo ila kale kautani ketu nakenyewe kapo kimtindo
Mechi nane zilizopita nne mnyama kakalia chuma,zote ni ngao!?..Simba ikicheza ngao na ikicheza caf mzamiru anakua tofauti!?Simba ya ngao ya jamii ni tofauti na ya CAF. Umewahi kutana na Simba ya CAF?
Mwache tu,Kuna tairi za bajaji zinamngojaMkuu, Una DE agosto kesho
Usimtusi mamba kabla ya kuvuka mto
Yanga walizokosa hukumbuki!!..kipa wa timu gani kaiokoa yanga!?Mmekoswa goli nne za wazi na kipa ndo kawaokoa, kisha unasema nini..?[emoji23]
Tarehe 23 siyo mbaliKama Yanga walikuwa wanafikiria kuwachangisha mashabiki kufidia ile penati waliyopigwa na CAS basi nawapa ushauri huu
Watafute mechi na Ihefu pale kwa mkapa, waingize kikosi hiki hiki kilicho cheza leo tena wachezaji wawe kwenye position hizi hizi walizocheza leo
Natabiri hattrick, mwamba lazima ateteme
Hiyo itakuwa ni mechi ya 45 bila kupoteza
Haraka haraka anzisheni kampeni ya kuchangia hiyo penati mliyopigwa
Ikifika siku ya marudiano na Al Hilal sitisheni hilo zoezi kwani walau mtakuwa mmepata hata milion 5 ambayo mtakuwa mmepunguza kiasi fulani kwenye ile milion 340+
Matanikumbuka kauli yangu
Jwaneng galaxyAngalizo kauli mbiu ya kwamkapa hatoki mtu ni kwaajili ya Simba tu.
Kweli kabisa Ibenge wa Vita kafa nyingi tu hapa akaja Ibenge wa Berkane nae akala za uso! Ana haki ya kuiheshimu Simba.Ibenge anaiogopa simba kuliko utopolo
Ndio tarehe mnayofanya marudiano na Al Hilal?Tarehe 23 siyo mbali
Thithi ndio thithiMabingwa gani? Makolo? Please!!!
Sasa hapo Kuna tofauti gani na kufungwa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Makolo nyuso zao zimewashuka kama Mbuzi wa hitma walijua tungefungwa waanze kuchongoa midomo yao kama chuchunge
Timu inatoka Sudan kwa basi za kuunga alafu yanga wanajiona binge la timu...Sio Ifefu mbona hadi mechi za kimataifa tena za CAF wameifunga timu tishio goli 9-0?