Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Ndio maana nimekuuliza ina maana CAF wamepotosha?Champions league,confederation tumecheza si chini ya Mara mbili kati ya 2013-2018
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana nimekuuliza ina maana CAF wamepotosha?Champions league,confederation tumecheza si chini ya Mara mbili kati ya 2013-2018
Aaaaah ndio faraja yenu hiyo, pambaneni na timu lenu .Nani kakutuma ushabikie timu bovu.Ulishawahi sikia 'juhudi na maarifa'!?..mzamiru anakua na maarifa' gani caf zaidi ambayo ngao yanakua hayapo!?...galaxy si alikufumua tatu hapo kwa mkapa!?.. energy haikuwepo!?
Bora yetu.. 🤣🤣 Azam hana hamuAzam ameyakanyaga huko Libya
Utopopolo bana hamkosi nenoMpira una matokeo matatu. Kufungwa, kushinda na sare, tumetoka sare. Yanga imejitahidi, tumewasoma vizuri, tumeanza kupata goli na kukosa pia. Tumezuia magoli, asante kipa wetu.
Yanga hii hii mnayoidharau leo, huwa inawalaza na viatu. Kama Yanga ni mbovu, basi makolo ni wabovu zaidi yaaa... huwa mnashinda kibahati bahati tu huko...
Sudan tunakuja...
Yani kwa boli lile ulilopigiwa na zile kosa kosa bado tu una hope kupata matokeo tena away?
We utakuwa una roho pea mbili
Timu bovu linacheza kesho AngolaAaaaah ndio faraja yenu hiyo, pambaneni na timu lenu .Nani kakutuma ushabikie timu bovu.
Kwa hiyo 2018 wakati mwinyi zahera anaiongoza yanga makundi shirikisho ulikua hujaanza kufuatilia mpira!?Ndio maana nimekuuliza ina maana CAF wamepotosha?View attachment 2380979
Kutwa nzima ya leo nilikuwa kwenue gari! Na mbata zaidi hii safari ilikuwa haikwepeki. Lakini kupata sare, siyo mbaya kivile. Hii maana yake kila timu ina nafasi ya kusonga mbele.Tate Mkuu anapumulia oxigen presha inapanda mara inashuka[emoji23][emoji28]
Haitakua mara ya kwanza Yanga kufuzu ugenini, Alishafanya hivyo Kwa High landers ya Zimbabwe, Township Rollers ya Botswana, Rayon ya Rwanda baada ya matokeo ya sare ya Mojamoja nyumbani.Hana uzoefu na mashindano ya kimataifa huyo,anafikira anacheza na ihefu hapo atanunua mechi.
Sijui wanayachukuliaje haya mashindano?
Kule Sudan wataishia kukaa nyuma tu na wachezaji wataonekana mizigo.Hii ni champions league kwa mpira ule ugenini hata goli hata pata.
Kila mtu anashinda nyumbani kwake sasa wewe usiposhinda nyumbani kwako kule utawezaje kushinda.
Mlifikiri ni rahisi uto aaaaah. Hiyo ni test uto ambayo msimamizi anakuambia ' you are not required to know your neighbour' yaani pambana na hali yako.Timu bovu linacheza kesho Angola
Hapa umesema kweli bila ushabiki. Mimi nimelala naumia sana. Hii game ilikuwa tuimalize hapa hapa leo. Nimeumia sana kwa kweli. Iweje mikia tu ndo wawe wanafanya vizuri wakati hawa kwetu wachumba tu?Yanga ina roho ya mwenge, mwenge mbio zake ni za vijijini tu, mwenge hautoki nje ya mipaka yetu. Nje ya mipaka yetu Yanga ni giza
View attachment 2380315
Huh kumbe we unaongelea Confederation?Kwa hiyo 2018 wakati mwinyi zahera anaiongoza yanga makundi shirikisho ulikua hujaanza kufuatilia mpira!?
Haitakua mara ya kwanza Yanga kufuzu ugenini, Alishafanya hivyo Kwa High landers ya Zimbabwe, Township Rollers ya Botswana, Rayon ya Rwanda baada ya matokeo ya sare ya Mojamoja nyumbani.
Aliowapiga mbili ni walima matango!?
Kinacho Mkuta Azam Huko
Safarihii watasubiri, niwakati wa Yanga.Hizo timu zote ulizozitaja mara ya mwisho kucheza makundi kwenye champions league lini?
Hao wasudan kucheza makundi ni kaiwada sana wanauwezo tukiwaona yanga tutashangaa sana ila sio wasudani