FT: Yanga 1-1 Al Hilal Club (CAF Champion League) | Mkapa Stadium | 8-10-2022

FT: Yanga 1-1 Al Hilal Club (CAF Champion League) | Mkapa Stadium | 8-10-2022

Champions league,confederation tumecheza si chini ya Mara mbili kati ya 2013-2018
Ndio maana nimekuuliza ina maana CAF wamepotosha?
Screenshot_20220913-150004.png
 
Ulishawahi sikia 'juhudi na maarifa'!?..mzamiru anakua na maarifa' gani caf zaidi ambayo ngao yanakua hayapo!?...galaxy si alikufumua tatu hapo kwa mkapa!?.. energy haikuwepo!?
Aaaaah ndio faraja yenu hiyo, pambaneni na timu lenu .Nani kakutuma ushabikie timu bovu.
 
Mpira una matokeo matatu. Kufungwa, kushinda na sare, tumetoka sare. Yanga imejitahidi, tumewasoma vizuri, tumeanza kupata goli na kukosa pia. Tumezuia magoli, asante kipa wetu.
Yanga hii hii mnayoidharau leo, huwa inawalaza na viatu. Kama Yanga ni mbovu, basi makolo ni wabovu zaidi yaaa... huwa mnashinda kibahati bahati tu huko...
Sudan tunakuja...
Utopopolo bana hamkosi neno
 
Yanga hawezi kufungwa na Al hilal, Yanga anaingia Makundi kibabe.
 
Yani kwa boli lile ulilopigiwa na zile kosa kosa bado tu una hope kupata matokeo tena away?

We utakuwa una roho pea mbili

Hana uzoefu na mashindano ya kimataifa huyo,anafikira anacheza na ihefu hapo atanunua mechi.

Sijui wanayachukuliaje haya mashindano?

Kule Sudan wataishia kukaa nyuma tu na wachezaji wataonekana mizigo.Hii ni champions league kwa mpira ule ugenini hata goli hata pata.

Kila mtu anashinda nyumbani kwake sasa wewe usiposhinda nyumbani kwako kule utawezaje kushinda.
 
Tate Mkuu anapumulia oxigen presha inapanda mara inashuka[emoji23][emoji28]
Kutwa nzima ya leo nilikuwa kwenue gari! Na mbata zaidi hii safari ilikuwa haikwepeki. Lakini kupata sare, siyo mbaya kivile. Hii maana yake kila timu ina nafasi ya kusonga mbele.
 
Hana uzoefu na mashindano ya kimataifa huyo,anafikira anacheza na ihefu hapo atanunua mechi.

Sijui wanayachukuliaje haya mashindano?

Kule Sudan wataishia kukaa nyuma tu na wachezaji wataonekana mizigo.Hii ni champions league kwa mpira ule ugenini hata goli hata pata.

Kila mtu anashinda nyumbani kwake sasa wewe usiposhinda nyumbani kwako kule utawezaje kushinda.
Haitakua mara ya kwanza Yanga kufuzu ugenini, Alishafanya hivyo Kwa High landers ya Zimbabwe, Township Rollers ya Botswana, Rayon ya Rwanda baada ya matokeo ya sare ya Mojamoja nyumbani.
 
Yanga ina roho ya mwenge, mwenge mbio zake ni za vijijini tu, mwenge hautoki nje ya mipaka yetu. Nje ya mipaka yetu Yanga ni giza

View attachment 2380315
Hapa umesema kweli bila ushabiki. Mimi nimelala naumia sana. Hii game ilikuwa tuimalize hapa hapa leo. Nimeumia sana kwa kweli. Iweje mikia tu ndo wawe wanafanya vizuri wakati hawa kwetu wachumba tu?
 
Haitakua mara ya kwanza Yanga kufuzu ugenini, Alishafanya hivyo Kwa High landers ya Zimbabwe, Township Rollers ya Botswana, Rayon ya Rwanda baada ya matokeo ya sare ya Mojamoja nyumbani.

Hizo timu zote ulizozitaja mara ya mwisho kucheza makundi kwenye champions league lini?

Hao wasudan kucheza makundi ni kaiwada sana wanauwezo tukiwaona yanga tutashangaa sana ila sio wasudani
 
Hizo timu zote ulizozitaja mara ya mwisho kucheza makundi kwenye champions league lini?

Hao wasudan kucheza makundi ni kaiwada sana wanauwezo tukiwaona yanga tutashangaa sana ila sio wasudani
Safarihii watasubiri, niwakati wa Yanga.
 
Back
Top Bottom