FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Kuanza Msimu kwa kuruhusu Kufungwa ni dalili tosha kuwa tayari Nuksi imeshaingia na huenda Hali ikawa mbaya pia.
 
TFF na Bodi ya ligi mmejionea wenyewe UHUNI wa Marefa wenu mapema kabisa hata ligi bado haijaanza, Mapema tu Marefa wameshaanza kuhongwa mpaka mechi za kirafiki....
 
Ulikuwa umejikunyata. Unakamatia mbupu bro msipigwe la pili.

Baada ya mbeleko ya referee unatokea.

Nyambafuuu
Wananchi tumemaliza magoli uwanjani tuhamie magoli ya chumbani sasa.... 😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹

Usiku mwemaaa
 
TFF na Bodi ya ligi mmejionea wenyewe UHUNI wa Marefa mapema kabisa hata ligi bado haijaanza, Mapema tu Marefa wameshaanza kuhongwa mpaka mechi za kirafiki....
Marefa wa kibongo wataishia kuchezesha ligi ya kibongo tu kimataifa watasubili sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…