Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
Kuangalia hiyo mechi mpaka mwisho ilihitaji ujasiri hasa maana ni upuuzi mtupu! Hivi hiyo team ndo mnataka ikashindane Champions League!? Mna masikhara sn aise...hizo bahasha hadi kwenye mechi za siku zenu!?Yaan nyie Utopolo tarehe 8 kazi mnayo
mpira umeangalia na nani