FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Kuanza Msimu kwa kuruhusu Kufungwa ni dalili tosha kuwa tayari Nuksi imeshaingia na huenda Hali ikawa mbaya pia.
 
TFF na Bodi ya ligi mmejionea wenyewe UHUNI wa Marefa wenu mapema kabisa hata ligi bado haijaanza, Mapema tu Marefa wameshaanza kuhongwa mpaka mechi za kirafiki....
 
Back
Top Bottom