Kuangalia hiyo mechi mpaka mwisho ilihitaji ujasiri hasa maana ni upuuzi mtupu! Hivi hiyo team ndo mnataka ikashindane Champions League!? Mna masikhara sn aise...hizo bahasha hadi kwenye mechi za siku zenu!?Yaan nyie Utopolo tarehe 8 kazi mnayo
mpira umeangalia na nani
Bila red card watu wangepoteanaKushinda mpaka red card mjomba Ona aibu
aah wapi...Ki dasilamu hicho master
Makolo jana amkupewa penalty?Nyinyi kina nani?
Jana ipi?
Refa inabdii asaini Kabisa Mkataba wa Kufa na kupona akifanya Huu ujinga ajiandae tunagawana nyama siku hiyoTarehe 8 uhuni kama huu Refa hatatoka uwanjani....ENOUGH IS ENOUGH
Dah mpira wa bongo kukua kazi sanaMechi ya bonanza kama hii ambayo sheria na kanuni kibao za soka zinapindishwa, kulikuwa na umuhimu gani kutoa ile kadi nyekundu?
Kipindi cha pili tumeona ile Yanga tunayoijua inayojua kuhonga.
Ngoma itasawazishwa iwe 2-2.Inakua 3-1 sasa 🤣🤣🤣🤣
Hatutoi bahasha sisi wala kufanya uloziMakolo jana amkupewa penalty?
Sijasema mimi.Ni harali red arrow kuwa mabingwa bila shaka walitaka kuchafua sikukuu ya watu
Bila red card haya yote ni uongoRed Arrow walibaki kukaba tu, yaani wanashangaa kama wao sio mabingwa wa Kagame Cup, hii Yanga ikipangwa first 11 haki naapa, Simba watajutaaa hiyo tar 8:8
Ndo ulie?Kuangalia hiyo mechi mpaka mwisho ilihitaji ujasiri hasa maana ni upuuzi mtupu! Hivi hiyo team ndo mnataka ikashindane Champions League!? Mna masikhara sn aise...hizo bahasha hadi kwenye mechi za siku zenu!?
Bila red card haya yote ni uongo
Halafu punguza umbea