FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Alichokifanya hakuna kocha anaweza kuthubutu kufanya wakati timu ipo nyums kwa goli moja. Lakini kabakia kwenye malengo yake pasipo kujali matokeo. Kocha mwingine angewaza kupata matokeo ili kutoharibu shughuli kwa kutowapanga wakina Nkane. Gamondi atatoa tena surprise tarehe 8
 
Yanga Wakitufunga Goli kuanzia 3 Nikatwe Sehemu zangu Za Siri Mkazitupe Mto msimbazi 😅😅..

Na yanga Wakitufunga Goli kuanzia 2 Mnikumbushe Nihame timu
Mkuu, sehemu za siri ni nyingi kuwa specific. Unataka kukatwa nini tukifungwa? Binafsi tukifungwa nasema hivi, nitasikitika sana na niachwe na masikitiko yangu.
 
Kwenye Friend match huwezi kutoa kadi kama Unatoa Njugu ili watu watafune...

Refa alitakiwa kujua hilo ni bonanza na sio Match ya Ligi au CAF au FIFA
Kumbuka hizi match sio tu ili team zinufaike pekee, hata mwamuzi anakuwa katika kujifunza kuzingatia na kufuata taratibu na kusimamia sheria za mpira.
 
Mkuu, sehemu za siri ni nyingi kuwa specific. Unataka kukatwa nini tukifungwa? Binafsi tukifungwa nasema hivi, nitasikitika sana na niachwe na masikitiko yangu.
Binafsi ninaamini sisi Simba tuna mpira mzuri kuliko Yanga.
Game ijayo inaenda kwenye matuta, tunabeba ndoo.

Hii community shield 🛡️ ni yetu mara tatu mfululizo.

Yes, kidogo Uto ni wazuri ila wanakabika vizuri, beki inapitika.
Na uzuri kina Debora hawatahitaji kuifikia hiyo beki yao mbovu.

Wanawadungua kutokea mbali.
 
Comments reserved
 
Unafanya analysis hiyo kupitia mechi ya jana ambayo Yao kakaa nje, Bacca yupo nje, Maxi yupo nje ambao hawa wote ndio wanaotengeneza shape ya kiulinzi ya Yanga. Mmedanganyika vibaya sana mkuu. Tukienda katika kimpira Red Arrow walikuwa na kipa haswa ila score board ingesoma 4+ sijui pengine na nyie mna kipa atakayekuwa na kiwango kikubwa cha kufanya kazi kama kipa wa Arrows.
 
Ila aliwafunga wakiwa pungufu. Wakati wamekamilika ilikua tiamaji tiamaji
 
Ila aliwafunga wakiwa pungufu. Wakati wamekamilika ilikua tiamaji tiamaji
Walivyokuwa wamekamilika hawakupelekewa moto kila sekunde? Kipa aliokoa michomo mingapi? Timu ipi ilitengeneza nafasi za magoli kuliko mwingine? Kama kocha angekuwa ana shida ya matokeo, kipindi cha pili angefanya sub angeweka Aziz Ki, Max, Bacca, Yao na Dube tu wasingeweza kustahimili hata wangekuwa kamili. Kuifunga timu ikiwa pungufu sio jambo jepesi hilo pia ulijue Simba ilitolewa na Mashujaa wakiwa pungufu tena tokea kipindi cha kwanza. Taifa stars ilishindwa kumfunga Zambia waliokuwa pungufu tena walikuwa wanaongoza kwa goli moja.
 
Ninachoweza kusema refa ameuburuza mwingi amewatengenezea kina Mobeto assist na akapunguza mchezaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…