Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Nyuzi za Yanga zikianzishwa na mleta mada huwa zinaishia pabaya. Hivi wewe jamaa kwani lazima kuanzisha nyuzi za Yanga mfyuuuuu zako unaboa
Sasa ni zamu Wananchi Yanga kuonyesha visu vyao. Jumapili hii Agosti 4 katika dimba la Benjamin Mkapa itakuwa ni kilele ya Wiki ya Mwananchi utambulisho wa wachezaji wa msimu wa 2024/2025 kufanyika.
Utambulisho huo utakamilishwa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya mabingwa wa Kagame Cup, Red Arrows kutoka Zambia