FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

USHAURI;
Hili suala la kula/Kunywa Suppu za Kafara ambazo hatujui ni Ngamia, Nguruwe nk siyo zuri kwa watu wenye akili na malengo ya Maisha yao binafsi.

Hii tabia ya Kiarabu inazidi kushamiri sana Tanzania, hizo Nyama zao zinakuwa zimenuiwa/lengo la kafara mambo ambayo wakati mwingine yatakuacha na MIKOSI, KUPUMBAZWA, MABALAA, MISIBA NA UMASKINI WA KUTUPWA. Tukae macho sana, na mamlaka ziangalie sana maana kuna baadhi ya Mikoa hasa Singida na Manyara hawa akina Tipp Tipp wanagawa Nyama za kafara hadi zinaenda uzwa kwa Mama Ntilie na Suppu za mtaani.

MwanaYanga take care, hizo suppu siyo Upendo kwako. Kuna jambo aliyeziandaa analitaka kwenu. Samahani kama nimekukwazeni.
 
🔹Wangeboresha utambulisho wa wachezaji, hata timu walioialika angeluwepo mtu wao anatambulisha wachezaji wao. Na show case watakaokaa wachezaji wa YANGA pembeni iwepo na show case ya wageni. Sio mnatambulisha wenu wageni wamejificha vyumbani hata lile vibes hawalioni nadhani Jana Azam walifanyiwa hivyo kule rwanda na ilibamba Sana

🔹Burudani ,tumechoshwa na Hawa wa mikono juu, kulia, kushoto, kulia kushoto na kuingia uwanjani mara na makamba, mara na majeneza yamepitwa na wakati. Matamasha kama haya wangekuwa wabunifu yangetangaza utajiri wa tamaduni za ki Tanzania kwa kutumia ngoma za jadi za alaiki.Jana Simba alijitahidi kidogo kutumia ngoma ya kimasai lakini anatakiwa abadilike na kwa kuwa yeye ndio mbunifu wa matamasha haya wengine waige

🔹Manara aje na vionjo vipya ile ya kupiga makelel aziiiiiiiiiiiii na kupangusa viatu vyao imepitwa na wakati na imezoeleka
 
Back
Top Bottom