FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Katika hali isiyotarajiwa na wengi, Waliamini kwamba kuweka mechi za kirafiki LIVE itaondoa ladha na hamu ya mashabiki kujaza uwanja siku ya utambulisho wa wachezaji wapya na staili ya uchezaji, Lakini Yanga imerusha mechi zake zote za kirafiki LIVE, wamebeba kombe lenye thamani ya Bilioni 3 na bado wananchi hawajapoteza hamu kuhudhuria tamasha la wananchi, kama unavyojionea uwanja umetapika mpaka wengine wanatumia uwanja wa uhuru 🙌


Hii tunaitaje kitaalam?

 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…