Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Ahahahaha ngoja tuchaji iPhone kwazaMwambie aanze yeye kama hajakimbia hapa 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahaha ngoja tuchaji iPhone kwazaMwambie aanze yeye kama hajakimbia hapa 😂
Jana sura zilikua ngumu, leo Mashallah..Mademu pia wa Yanga wazuri woooote,
Wamepatikana tayari. Wamesolve tatizo tayari niko live hapaJana nilikoma Hawa wapuuzi sana
Ya jana iko waziSound ya jana na Leo ipi tamu
Miki mbovu ila billnass na Christian Bella waliuaNdo tunaingia, mbona performance kama mbovu wananchi?
Pole sana mkuuYan inapatikana moja tu na yenyewe iko busy
Naona sasa Kuna uafadhali, wamalize tu sasa tuangalie ya muhimuMiki mbovu ila billnass na Christian Bella waliua
Bado harmonizeNaona sasa Kuna uafadhali, wamalize tu sasa tuangalie ya muhimu
Kumbe wewe ni Simba😒💔Ukiangalia hawa mashabiki wa yanga unaweza ukafikiri ni shamba la alzeti. View attachment 3061524
KUmbe na wewe umeona🤔Asee Izi Pisi za yanga ni Nomaaa
Sijaona mbovu ata moja
Ukiwaangalia simba unaweza sema vibanda vya Mpesa😂😂😂Ukiangalia hawa mashabiki wa yanga unaweza ukafikiri ni shamba la alzeti. View attachment 3061524
Cheki kama uo mshangazi apo ulivotabasam paleK
Umbe na wewe umeona🤔
Yaani Yanga ina pisiiii mimi nimedata
Sasa ni zamu Wananchi Yanga kuonyesha visu vyao. Jumapili hii Agosti 4 katika dimba la Benjamin Mkapa itakuwa ni kilele ya Wiki ya Mwananchi utambulisho wa wachezaji wa msimu wa 2024/2025 kufanyika.
Utambulisho huo utakamilishwa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya mabingwa wa Kagame Cup, Red Arrows kutoka . Tamasha linaboa mbaya mno kongole wenzetu Simba